Thursday, August 5, 2010

sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini

1 comment:

  1. Mkuu; hiyo Title ya Blogu yako ni kosa la mkono kuteleza au ni makusudi? Naona umeandika Kiwete badala ya KIKWETE.

    Kama ni makusudi mhhhh...wala haipendezi. Toa hoja tuujadili huo ukiwete unaouzungumzia.

    ReplyDelete