nitumie picha yako ya tukio hasa ndugu zangu chadema kwa: malariasugu@gmail.com
Mkuu; hiyo Title ya Blogu yako ni kosa la mkono kuteleza au ni makusudi? Naona umeandika Kiwete badala ya KIKWETE.Kama ni makusudi mhhhh...wala haipendezi. Toa hoja tuujadili huo ukiwete unaouzungumzia.
Mkuu; hiyo Title ya Blogu yako ni kosa la mkono kuteleza au ni makusudi? Naona umeandika Kiwete badala ya KIKWETE.
ReplyDeleteKama ni makusudi mhhhh...wala haipendezi. Toa hoja tuujadili huo ukiwete unaouzungumzia.